QUALITY POLICY


SERA YA UBORA
Lab Equip Limited (LEL) quality policy is to achieve sustained, profitable growth by providing services which consistently satisfy the needs and expectations of our customers.
Sera ya ubora ya Lab Equip Limited (LEL) ni kuwezesha ukuaji endelevu wa kampuni kwa kutoa huduma ambazo daima zinatimiza matakwa ya wateja wetu.

Achievement of this policy involves all staff, who are individually responsible for the quality of their work and in identifying and reporting potential improvements, resulting in a continually improvement of our services and working environment.
Kufanikiwa kwa sera hii kunatokana na juhudi za wafanyakazi wote na kila mfanyakazi binafsi anawajibika kwa ubora wa kazi yake, na katika kugundua na kuripoti mapungufu ya utendaji ili kuweza kuboresha huduma zetu na mazingira ya kufanyia kazi.

The objectives of the Quality Policy are:
Madhumuni ya Sera ya Ubora ni:   

To maintain an effective Quality Management System complying with International Standard ISO 9001: 2008;
Kuendeleza mfumo wa udhibiti ubora kwa mujibu wa  kiwango cha kimataifa cha ISO 9001: 2008;

To ensure compliance with relevant regulatory requirements;
And
To endeavour, at all times, to meet and exceed customer satisfaction through meeting customer requirements.
Kutimiliza sheria zote za nchi;
Na
Kujitahidi kwa wakati wote kuwa na kutimiza na hata kupita matarajio ya mteja ili kuweza kumfurahisha mteja wakati wote.

Chief Executive Officer
March 2014